Thursday, 16 April 2015

Mitindo Rahisi Na Nafuu Ya Kutengeneza Nywele:

Kunyoa kipara:


Habari mpenzi, ndugu na rafiki msomaji wa blog hii, leo katika mitindo ya nywele mwanamitindo wako nimeamua kukuletea mtindo wa kunyoa kipara ambao ni mtindo rahisi na nafuu wakutengeneza nywele na hauhitaji gharama kubwa kama mitindo mingine ya nywele.

Unaweza ukasema kuwa huu sio mtindo wa nywele, lakini kiukweli ni mtindo maridadi kabisa na wanawake wengi sasa hivi wanapenda kuutumia na wanapendeza pia.

Angalia baadhi ya warembo hawa wakiwa katika mtindo wa kipara.




Kama ulivyo ona hapo warembo walivyo pendeza na mtindo huu wa kunyoa kipara pia mtindo huu mara nyingi hutumiwa zaidi na wanawake au wasichana wasio penda kufuga nywele na wengine huutumia mtindo huu kama mtindo ambao unaweza kuwafanya waonekane tofauti na wasichana
wengine kwani wasichana wengi hupenda sana nywele.


2 comments:

  1. Kwa kweli mitindo ni mizuri, nimeupenda zaidi uo wa kubana nywele za asili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ha! ha! haaaa!!!! Namii nilijua tyuu kua utapenda hapo coz cndo mambo yakoo hayoo Naomii..

      Delete